下一个

🔴LIVE: DKT. SAMIA Bungeni, uteuzi wa WAZIRI MKUU, Kiapo cha WABUNGE, Uchaguzi wa SPIKA / NAIBU SPIKA

0 意见· 11/19/25
The Kings Ark
The Kings Ark
19,103 订户
19,103

Kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 leo, Novemba 11, 2025'
Kufanya uchaguzi wa Spika wa Bunge.
Wabunge kula kiapo cha uaminifu.
Kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu.
Uchaguzi wa Naibu Spika.
Ufunguzi wa Bunge jipya la 13 utakaofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
..................
Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
Instagram, Twitter na Facebook

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个